BISHARA YA MAFANIKIODeprecated: Function eregi_replace() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 99 Deprecated: Function split() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 103 BISMILAHI RAHMANI RAHIYMI Muhammad Mustafa, Mtume Wa Allah (s.a.w.w) ilibidi apigane mfululizo wa vita katika kuutetea Uislamu kutoka kwenye makazi yake mapya hapo Madina. Vile vita ambavyo aliongoza jeshi la Kiislam yeye mwenyewe, vinaitwa "Ghaz'wa" na ile misafara ambayo aliyotuma kutoka Madina chini ya amri ya mmojawapo wa maswahaba wake, inaitwa "Sariyya". Kwa kukisia, Mtume (s.a.w.w) alizindua kampeni za kijeshi 80 katika ile miaka kumi tangu kuhama kwake mwaka 622 A.D. mpaka kufa kwake mwaka 632 A.D "Mtume Muhammad (s.a.w.w) alikuwa anayafahamu kabisa mazingira hayo magumu ya kivita na Majaaliwa ya Uislamu yalitegemea juu ya matokeo ya mapambano yanayokuja." Mtume (s.a.w.w) aliwaamuru Waislamu kukita mahema "Hubab mtoto wa al-Mundhir, mdogo kwa Mtume (s.a.w.w) kwa miaka ishirini, baada ya kuhakikisha kwamba walikuwa kwenye vita vya kawaida, na kule kuwa na ujuzi maalum wa vile visima vilivyoko jirani, alimshauri Mtume (s.a.w.w) kukaa mbele ya vyote isipokuwa kimoja, ambacho katika mzunguko wake wangefanya hifadhi, ili kuwa na ugawaji wa maji wa kuaminika kwa ajili ya vikosi hivyo; kule kuwa na nguvu hii ya asili yenye thamani baadae kutasaidia. Mtume (s.a.w.w) aliyakubali mapendekezo yake na akaliweka jeshi Matukio mara yakadhihirisha kwamba mapendekezo ya Hubab yalikuwa mazuri Vita hivi vya Badr vilipiganwa katika mwaka wa pili wa Hijiria, kwenye tarehe 17 ya mwezi wa Ramadhani, mwezi wa tisa wa kalenda ya Kiislam (March 15, A.D.624). Lile jeshi la Makka lilitoka nje ya kambi Vita vikaanza katika desturi ya Kiarabu ya taratibu za vita ambamo shujaa wa upande mmoja alipanda au kutoka nje ya msitari, na kuwapa changamoto mashujaa wa adui kukutana naye katika pambano la mtu mmoja mmoja. Hii ilimpa fursa ya kujipatia sifa binafsi kwa kuonyesha ujasiri wake mwenyewe, nguvu zake na ujuzi katika upanda farasi. Majeshi hayo mawili yalifanya
|