BISMILAHI RAHMANI RAHIYMIDeprecated: Function eregi_replace() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 99 Deprecated: Function split() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 103 MASHIRIKIANO YA IMAMU ALI (A.S) KATIKA VITA VYA KIISLAMU Waislamu na Wayahudi Mnamo mwaka wa 70 A.D. Yule jenerali wa Kirumi, Titus, aliiteka Mwanzoni mwa karne ya saba A.D., kulikuwa na makabila matatu ya Kiyahudi yaliyokuwa yanaishi Madina (Yathrib). Haya yalikuwa ni Banu Qainuka'a, Banu Nadhir na Banu Qurayza. Makabila yote matatu yalikuwa matajiri na yenye nguvu, na pia, yalikuwa yamestaarabika zaidi kuliko hao Waarabu. Wakati ambapo Waarabu walikuwa wote ni wakulima, hawa Wayahudi walikuwa wawekezaji Mbali na Madina, vituo vizito vya Wayahudi katika Hijazi vilikuwa Khaibar, Fadak na Wadi-ul-Qura. Ardhi katika mabonde haya ilikuwa ndio yenye rutuba zaidi katika Kule kuhama kwa Muhammad, Mtume wa Uislamu, kutoka Makka kwenda Madina (wakati huo Yathrib) kulimkutanisha na Wayahudi kwa mara ya kwanza. Hapo mwanzoni walikuwa na urafiki naye. Aliwapa ule mkataba maarufu wa Madina, na wakamtambua yeye Lakini, kwa bahati mbaya, urafiki huu haukudumu kwa muda mrefu. Mara moja ikaonekana wazi kwamba hao Wayahudi walitoa urafiki wao kwa Muhammad kwa masha-ka mengi. Kwa maslahi 1. Wakati Muhammad alipowasili Madina, alirekebisha maisha ya Waarabu au yeyote yule aliyeingia Uislamu. Aliwafundisha wao kuwa na msimamo wa kadiri na wastani katika kila jambo na akawafundisha thamani ya nidhamu katika maisha. Waliacha kunywa pombe na kucheza na kamari vyote ambavyo vilikuwa ndio vyanzo vya kuharibikiwa kwao huko nyuma; na waliacha kuchukua mikopo kwa viwango vya juu vya riba kutoka kwa Wayahudi. Pale Waarabu walipoacha kuchukua mikopo na kuitolea riba juu yake, chanzo kikubwa cha mapato kwa Wayahudi ghafla kikakauka, na walilikasirikia 2. Wayahudi pia walitambua kwamba Uislamu ulikuwa ni adui wa mfumo wao wa unyonyaji, na mfumo wa kibepari. Walianza kuuona Uislamu kama ni tishio kwa maslahi
|