MAFUNZO YA QURAN
Deprecated: Function eregi_replace() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 99

Deprecated: Function split() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 103

 

 

 

 

 

MWENYEEZI MUNGU NI MLINZI WA WENYE KUAMINI

 

Katika masomo yaliyopita tulielewa maana ya Aya zilizokuja katika masomo hayo, na kwa kupitia maana ya aya hizo tulimfahamu Mwenyeezi Mungu kwa undani zaidi.

Mwenyeezi Mungu, Mola ambaye ndiye mmiliki wa mbingu na ardhi, na akatuteremshia na kutujaalia sisi neema nyingi zisizo mfano, Mola ambaye utukufu wote ni wake, na Yeye akampa utukufu huo Mtume pamoja na waja wake waumini.

Sisi waislamu siku zote tuna itikadi ya kuwa Mwenyeezi Mungu, na Mtume Muhammad (s.a.w) pamoja na Maimamu ndio walinzi wetu, na ni wenye kuyafuata yale ambayo wanatuamrisha ili tupate saada ya dunia na akhera, na mafunzo hayo tunayaona katika Aya mbali mbali ndani ya Qur-ani.

 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 32 33 34 35 36 37 38 39 40 41 42 43 44 45 46 47 48 49 50 51 52 53 54 55 56 57 58 59 60 61 62 63 64 65 next