TOFAUTI ZA SIMULIZI ZILIZONUKULIWA KATIKA KITABU CHA QUR-ANI NA KITABU CHA TAURATI NA INJILIDeprecated: Function eregi_replace() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 99 Deprecated: Function split() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 103 TOFAUTI ZA SIMULIZI ZILIZONUKULIWA KATIKA KITABU CHA QUR-ANI NA KITABU CHA TAURATI NA INJILI
1.Yale yaliyoelezewa katika kitabu cha Taurati cha sasa hivi, uelezewaji wake ni kama vilivyoelezea vitabu vya tarekh, (yaani ndani ya kitabu cha Taurati yameelezewa matokeo ya kitarekh kwa ukamilifu), na hakuna uthibitishwaji wowote uliokubalika kuwa matokeo hayo yaliyoelezewa katika kitabu hicho ni sahihi au sio sahihi (yaani kwa kiasi kikubwa baadhi ya matokeo yaliyoelezewa hayana uhakika wowote na sio sahihi). Tofauti na Kitabu cha Qur-ani, 2. Simulizi zilizoelezewa ndani ya Kitabu cha Qur-ani zinaelezea (kutakasika ) kwa Mwenyeezi Mungu na Mitume yake. Tofauti na vitabu viwili hivyo, na zaidi kitabu cha Taurati, maelezo yaliyoelezewa ndani ya kitabu hicho kuhusu Mwenyeezi Mungu na Mitume yake hayalingani na sifa walizonazo watukufu hao, kwa kutoa mfano ndani ya kitabu cha Taurati kumeelezewa kuhusu kuumbwa kwa mwanaadamu, na uelezewaji ulioelezewa ndani ya kitabu hicho ni Kisa hichi kinahusiana na Nabii Adam na bibi Hawa (a.s) “Mwenyeezi Mungu baada ya kumuumba Nabii Adam na Bibi Hawa alimwambia Nabii Adam kuleni matunda ya miti yote lakini musile matunda ya Mti fulani, kwa sababu pindi mutakapokula matunda ya mti huo mutafariki, mara akatokea bilisi, bilisi ambaye ana akili kuliko wanyama wote akamwambia bibi Hawa kula matunda ya mti huo wala hutofariki, bali Mwenyeezi Mungu anajua kama utakula matunda ya mti huo mtakuwa na elimu ya kila kitu. Basi bibi Hawa alikula matunda ya mti huo, na akampa mumewe (Nabii Adam), wote wawili wakawa wamekula matunda ya mti huo, muda mfupi wakajiona wote wawili wako (uchi kama walivyozaliwa), hapo walichukuwa majani ya miti ili kujistiri, na wakati huo basi wakasikia sauti ya Mwenyeezi Mungu ikisema tokeni katika bustani yangu (baadhi ya nadharia wamesema kuwa ni pepo), Nabii Adam na bibi Hawa walikuwa wamejificha, hapo wakasikia sauti ya Mwenyeezi Mungu kwa mara nyengine ikisema Adam uko wapi? Nabii Adam akamjibu Mola wake nimeogopa baada ya kusikia sauti yako, na sasa hivi niko uchi ndiyo maana nimejificha. Mwenyeezi Mungu akamuuliza hivi umekula matunda ya mti niliokukataza usile? Nabii adam akamjibu Mola wake “Mwanamke ambaye umenipa mimi (bibi Hawa) ndiye aliyenipa nikala” Mwenyeezi Mungu akamghadhibikia bibi Hawa na kumwambia kwa nini umefanya hao? Bibi Ha akamjibu Mola wake “ bilisi ndiye aliyenambia nile” Mwenyeezi Mungu akasema:- Mwanaadamu keshakuwa
|