Masomo ya Kiislamu Kitabu cha NneDeprecated: Function eregi_replace() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 99 Deprecated: Function split() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 103 MASOMOYA KIISLAMU
Kitabu cha Nne
YALIYOMO
Somo 1. Tabia nzuri 2. Matendo yaliyo faradhi: Kufanza amali njema kwa moyo wa bidii na unyoofu, Kumtegemea Mwenyezi Mungu, Kutendeana Haki, Kuwatendea mema Wazee wawili, Kuwaangalia jamaa wa damu, Kusaidiana mambo mema, Kupatanisha watu na Ukweli. 3.Matendo Matukufu {1}: Kuwa na tabia nzuri, Kuwa na elimu, Ushujaa, Unyenyekevu, Huruma na Upole, Kukaa vyema na watu, Ukarimu, Utawa na Kuwasaidia wanyonge. 4.Matendo Matukufu {ii}: Kutoa Salamu kwa kutangaza Kusubiri, Kukarimu, Kusameheana, Kukidhi haja za watu, Kufanya usawa kwa kila kitu, Kumcha Mwenyezi Mungu,Usafi, Kuwa na haya, Kuoa, Kuwa na ukunjufo, Kuwaheshimu watu, Kumshukuru Mungu. 5.Matendo yaliyo haramu {1}: Kuwaasi na kuwahalifu wazazi, Kuzini, Kufira, Kusagana wanawake, Kunywa ulevi, Kucheza kamari, Kula mizoga na nguruwe na vinginevyo vilivyo haramishwa, Kula mali za watu, Kula mlungula
|