Imam Hassan AskariDeprecated: Function eregi_replace() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 99 Deprecated: Function split() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 103 HISTORIA FUPI YA IMAM HASSAN ASKARI (A.S)
JINA LAKE NA NASABU YALKE (A.S) Jina lake ni Hassan bin Ally bin Mohammad bin Ally bin Mussa bin Jaafar bin Mohammad bin Ally bin Hussein bin Ally bin Abii Twalib (a.s). MAMA YAKE (A.S) Mama yake ni mjakazi alie kuwa akiitwa Suusan, na kuna kauli nyingine tofauti na hiyo. KUNIA YAKE (A.S) Alikuwa akijulikana kwa kunai ya Abuu Mohammad. MAJINA YAKE MASHUHURI (A.S) 1- Al askari. 2- As siraaj. 3- Al khaaalis. 4- As swaamit. 5- At taqiyyu, na mengineyo. TAREHE YA KUZALIWA KWAKE (A.S) Alizaliwa tarehe 8 mwezi wa Rabiul awwal, mwaka 232 hijiria, na kuna kauli nyingine tofauti na hiyo.
|