Imam Ally Naqi
Deprecated: Function eregi_replace() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 99
Deprecated: Function split() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 103
HISTORIA FUPI YA IMAM ALLY AL HAADIY (A.S)
JINA LAKE NA NASABU YAKE (A.S)
Jina lake tukufu ni Ally bin mohammad bin Ally bin Mussa bin Jaafar bin mohammad bin Ally bin Hussein bin Ally bin Abii twalib (a.s).
MAMA YAKE (A.S)
Mama yake alikuwa ni mjakazi alie kuwa akiitwa Sumanah, na inasemekana kuwa alikuwa na jina lingine tofauti na hilo.
KUNIA YAKE (A.S)
1- Abul Hassan. 2- Abul Hassan Athaani.
MAJINA YAKE MAARUFU (A.S)
1- Al haadiy. 2- Al mutawakkil. 3- Al Fattah. 4- An naqiyyu. 4- Al murtadhaa.
TAREHE YA KUZALIWA KWAKE (A.S)
Alizaliwa tarehe 15mwezi wa dhul hajji, mwaka 212 hijiria, na kuna kauli nyingine tofauti na na hiyo.
|