Imam Ally RidhwaDeprecated: Function eregi_replace() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 99 Deprecated: Function split() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 103 HISTORIA FUPI YA IMAM ALLY BIN MUSSA RIDHAA (A.S)
JINA LAKE NA NASABU YAKE (A.S). Jina lake tukufu ni Ally bin Mussa bin Jaafar bin Mohammad bin Ally bin Hussein bin Ally bin Abii twalib (a.s). MAMA YAKE (A.S). Mama yake alikuwa ni mjakazi alie kuwa akiitwa: Najmah, na kuna kauli nyingine tofauti na hiyo. KUNIA YAKE (A.S). 1- Abuul Hassan. 2- Abuu Ally, na mengineyo. MAJINA YAKE MASHUHURI (A.S). 1- Ridhaa. 2- Asswabir. 3- Arradhiyyu. 4- Al wafiyyu. 5- Al faadhil, na mengineyo. TAREHE YA KUZALIWA KWAKE (A.S). Alizaliwa tarehe 11 mwezi wa dhil qaadah, mwaka 148 hijiria, na kuna kauli zingine kuhusiana na tarehe ya kuzaliwa kwake (a.s).
|