Imam Jaafar SaadiqDeprecated: Function eregi_replace() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 99 Deprecated: Function split() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 103 HISTORI FUPI YA IMAM JAAFAR SWAADIQ (A.S)
JINA LAKE NA NSABU YAKE (A.S). Jina lake ni Jaafar bin Mohammad bin Ally bin Husein bin Ally bin abi twalib (a.s). MAMA YAKE (A.S). Mama yake ni Ummu Far’wa binti Qaasim bin Mohammad bin abii Bakar. KUNIA YAKE (A.S). 1- Abu abdillah. 2- Abu ismaail. MAJINA YAKE MASHUHURI (A.S). 1- Aswaadiq. 2- Aswabir. 3- Al faadhil. 4- Atwaahir. 5- Al kaamil. 6- Al munjiy, na mengineyo. TAREHE YA KUZALIWA KWAKE (A.S). Alizawa tarehe 17 mwezi wa Rabiul awwal mwaka 83 hijiria, na kuna kauli nyingine tofauti na hiyo.
|