Imam Mohammad BaaqirDeprecated: Function eregi_replace() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 99 Deprecated: Function split() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 103 HISTORIA FUPI YA IMAM MOHAMMAD BAAQIR(A.S)
JINA LAKE NA NASABU YAKE (A.S) Jina lake tukufu ni Mohammad bin Ally bin Hussein bin Ally bin Abi twalib (a.s) MAMA YAKE (A.S). Fatima binti wa Imam Hassan (a.s). KUNIA YAKE (A.S). Abu Jaafar, na nyinginezo. MAJINA YAKE MASHUHURI (A.S). 1- Baaqir. 2- Baaqirul uluum. 3- Ash-shaakir. 4- Al haadiy, na mengineyo. TAREHE YA KUZALIWA KWAKE (A.S). Alizaliwa tarehe 1 mwezi wa Rajab mwaka 57 hijiria, na inasemekana kuwa alizaliwa tarehe 3 mwezi wa safar mwaka huohuo, na kunakauli zingine tofauti na hiyo.
|