Imam HuseinDeprecated: Function eregi_replace() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 99 Deprecated: Function split() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 103 HISTORIA FUPI YA IMAM HUSSEIN BIN ALLY (A.S)
JINA LAKE NA NASABU YAKE (A.S). Jina lake ni Hussein bin Ally bin abi twalib bin Abdul mutwalib. MAMA YAKE (A.S). Mama yake ni Fatima Zahraa (a.s) binti wa Mtume (s.a.w). KUNIA YAKE (A.S). Abu abdillah. MAJINA YAKE MASHUHURI (A.S). 1- Arrashiid. 2- Atwayyib. 3- Assayyid Zakii. 4- Al mubaarak. 5- Attaabiu limardhatillah. 6- Addaliil alaa dhati llah. 7- Assibtwi. 8- Sayyidu shabaab ahlil jannah. 9- Sayyidu shuhadaa. 10- Abuu aimmah, na mengineyo. TAREHE YA KUZALIWA KWAKE (A.S) Alizaliwa tarehe 3 mwezi wa shaaban mwaka wa 4 hijiria, na kuna kauli nyingine isemayo kuwa alizaliwa tarehe 5 mwezi wa shaaban mwaka huohuo, na kuna kuli zingine tofauti na hizo.
|