Imam HassanDeprecated: Function eregi_replace() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 99 Deprecated: Function split() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 103 HISTORIA FUPI YA IMAM HASSAN MUJTABA (A.S)
JINA LAKE NA NASABU YAKE (A.S) Jina lake ni Hassan bin Ally bin abi twalib bin Abdul mutwalib. MAMA YAKE (A.S). Mama yake ni Fatima Zahraa binti wa Mtume (s.a.w). KUNIYA YAKE (A.S) NI. Abu mohammad. JINA LAKE MASHUHURI (A.S). 1- Attaqii. 2- Azzakii. 3- Assibtwi. 4- Atwayyib. 5- Assayyid. 6- Al walii. Na mengineyo. TAREHE YA KUZALIWA KWAKE (A.S) Alizaliwa tarehe 15 mwezi wa Ramadhani mwaka 3 hijiria, na hii ndio tarehe iliyo mashuhuri, na inasemekana ya kuwa alizaliwa mwaka wa 2 hijiria.
|