Fatimah ZahraaDeprecated: Function eregi_replace() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 99 Deprecated: Function split() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 103 HISTORIA FUPI YA FATIMA ZAHRAA (A.S)
JINA LAKE NA NASABU YAKE (A.S). Jina lake ni Fatima binti wa Mohammad (s.a.w) bin abdallah bin abdul mutwalib. MAMA YAKE (A.S). Mama yake ni Khadija binti Khuwailid. KUNIA YAKE (A.S). Kunia yake ni 1- ummu abiiha. 2- Ummul hassanaini. 3- Ummul aimmah. 4- Ummur rihaanataini, na mengineyo. JINA LAKE MASHUHURI (A.S). Jina lake mashuhuri ni 1- Zahraa. 2- Al batuul.3- Swiddiiqah. 4- Mubaraakah. 5- Twahira. 6- Zakiyyah. 7- Radhiyyah. 8- Mardhiyyah. 9- Al muhaddathah, na mengineyo. TAREHE YA KUZALIWA KWAKE (A.S). Fatima Zahraa alizaliwa tarehe 20 jumadal Aakhir mwaka wa tano wa utume kutokana na kauli iliyo mashuhuri kwa mashia, na kuna kauli zingine zisemazo kuwa alizaliwa katika tarehe tofauti na hiyo.
|