Mtume MohammadDeprecated: Function eregi_replace() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 99 Deprecated: Function split() is deprecated in /home/swaalshia/public_html/page.php on line 103 HISTORIA FUPI YA MTUME (S.A.W)
JINA LAKE NA NASABU YAKE. Jina lake ni Mohammad bin Abdallah bin Abdul mutwalib bin hashim bin Abdul manaf bin Quswai bin kilaab. Na ukoo wake mtukufu unamalizikia kwa mtume Ibrahiim (A.S) MAMA YAKE. Mama yake ni Amina binti Wahabi bin Abdul manafi bin zuhra bin kilaab. KUNIA YAKE NI: Abul qaasim, pia Abuu Ibrahiim. JINA LAKE MASHUHURI. 1- Mustafa, na anayo majina mengine mengi yaliyo pokelewa ndani ya Qur’ ani tukufu kama: 2- Khaatamun nabiyyiin. 3- Al ummiyyi. 4- Al muzammil. 5- Al mudathir. 6- Al mubiin. 7-Al kariim. 8- An nuur. 9- An niima. 10- Ar rahmaan. 11- Ash shaahid. 12- Al mubashir.13- An nadhiir. 14- Abdur rauuf. 15- Ar rahiim. 16- Ad daai na mengine mengi.
|